SUA Yawakumbuka Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum Morogoro

Watumishi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wametoa misaada kwa zaidi ya wanafunzi hamsini wa elimu maalumu waliokuwa wakikabiriwa na changamoto mbalimbali katika shule ya msingi Kauzeni halmashauri ya Manispaa  ya Morogoro  kitengo cha wanafunzi wenye mahitaji maalumu inayogharimu kiasi cha fedha milioni tano .

SUA Yawakumbuka Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum Morogoro

Share this page